UTV Tanzania
UTV Tanzania
  • 4 068
  • 8 652 329
HELLO WIKIENDI || Tabia ya kutojihusisha na matatizo ya watu wengine
Bila shaka umewahi kusikia au kuona tukio ambalo kama mtu falani angepatiwa msaada mapema, pengine madhara au hatari ingepungua mapema lakini kutokana na watu kutotoa msaada au kujihusisha na tukio husika basi inafanya hatari na madhara kwa mtu husika kuwa makubwa sana.
Hilo linaibua mjadala wetu hapa juu ya kujihusisha na changamoto za watu wengine
Переглядів: 49

Відео

Mizengo Pinda ataka wana CCM kuepuka maneno ya uchochezi
Переглядів 61День тому
Waziri Mkuu Mstaafu ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi Taifa, Mizengo Pinda amewataka wanachama CCM wanaotaka kugombea nafasi yoyote kujiepusha na maneno ya uchochezi yanayoweza kuharibu mahusiano baina yao.
MADA || Jinsi ya kufika ndoto zako
Переглядів 50День тому
Kuna vitu vingi vianavyokwamisha ndoto za watu wengi na leo tunaangazia taratibu za kufikia ndoto zako.
KIVULI || Panda shuka safari ya Lydia Moyo kuishi ndoto yake
Переглядів 32День тому
Kutana na Lydia Charles Moyo, Mkurugenzi wa Taasisi ya Her Initiative ambaye kwa leo anatupitisha katika safari yake ya maisha katika kutimiza ndoto zake muhimu.
MADA || Dunia inaadhimisha mwezi wa kujali
Переглядів 25День тому
Ikiwa leo ni Julai 21 ambapo dunia inaadhimisha mwezi wa kujali na leo tunaangazia ni jinsi gani unaweza kujali na kuleta manufaa katika jamii.
Pinda awataka viongozi kuchunga maneno yao wanapozungumza
Переглядів 51День тому
Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda ametoa wito kwa viongozi kuchagua maneno ya kuzungumza wanapowasiliana na umma ili kuepuka kuwakwaza wanaowaongoza. Pinda ametoa kauli hiyo wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari nyumbani kwake mjini Mpanda mkoani Katavi. #AzamTVUpdates Wahariri || Tuya Ibrahim, @moseskwindi
Mkunga feki asababisha kifo cha mtoto Simiyu
Переглядів 40День тому
Serikali inamshikilia Malongo Malongo mkazi wa mtaa wa Giriku mkoani Simiyu kwa kusababisha kifo cha mtoto mchanga baada ya kumpatia huduma ya ukunga mjamzito bila kuwa na taaluma ya kutoa huduma hiyo. #AzamTVUpdates Wahariri || Tuya Ibrahim, @moseskwindi
Waziri Mkuu azindua maboresho ya daftari la wapiga kura
Переглядів 66День тому
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa maagizo kwa idara ya uhamiaji na mawakala wa vyama vya siasa kuwajibika kikamilifu kudhibiti raia wa kigeni wasijipenyeze kwenye uboreshwaji wa daftari la kudumu la wapiga kura. Majaliwa ametoa maagizo hayo mkoani Kigoma wakati akizindua rasmi uboreshwaji wa daftari hilo kitaifa. #AzamTVUpdates Wahariri || Tuya Ibrahim, @moseskwindi
Malori mapya 50 ya Sinotruk kuongeza nguvu za kuwafikishia huduma na bidhaa za Azam wateja nchini
Переглядів 244День тому
Kampuni za Said Salim Bakhresa (SSB) zimesema zinaendelea kuweka mazingira bora ya kuwafikishia wateja wao wa ndani na nje ya nchi huduma za bidhaa zake kwa wakati. Mkuu wa Fedha wa SSB, Ammar Yunus amesema hayo leo Julai 19 jijini Dar es Salaam wakati SSB ikipokea malori 50 aina ya Sinotruk yaliyotengenezwa na kampuni ya Sinotruk Limited ya China. #AzamTVUpdates Wahariri || Tuya Ibrahim, @mose...
CHEKECHE || Je uteuzi wa Rais Ruto utawanyamazisha waandamaji
Переглядів 436День тому
Hatimaye Rais William Ruto amependekeza majina 11 kati ya 22 katika baraza lake jipya la mawaziri, huku akibainisha kuwa waliosalia anatarajia kuwatangaza wiki ijayo baada ya mashauriano na wasaidizi wake. Akizungumza na wakenya Ijumaa Julai 19, 2024, Rais Ruto amesema uteuzi wake unazingatia mashauriano yenye lengo la kurejesha amani na utulivu nchini mwake baada ya kushinikizwa na umma kuwa a...
Camara Education Tanzania na Songas zanogesha mafunzo ya TEHAMA shule ya sekondari Mwinyi Mkuranga
Переглядів 2122 години тому
Wazazi na walezi wametakiwa kuwahamasisha watoto kujifunza mambo mbalimbali yanayofuata maadili ya kitanzania kupitia TEHAMA ili kuwaongezea weledi katika masomo hayo. Rai hiyo imetolewa na Afisa TEHAMA wa wilaya ya Mkuranga, Kassim Mrutu wakati wa uzinduzi wa maabara ya kompyuta iliyofadhiliwa na kampuni ya Songas kwa kushirikiana na taasisi ya Camara Education Tanzania yenye lengo la kuboresh...
UFUNGUO | Unyanyapaa unavyowanyima fursa ya kurejea shuleni wanafunzi waliojifungua
Переглядів 5622 години тому
Kutana na Anyesi Ernest, binti mwenye umri wa miaka 23 mkazi wa Kigoma aliyekuwa nje ya masomo baada ya kupata ujauzito. Alijaribu kurudi shuleni lakini unyanyapaa ulimkatisha tamaa. Anyesi amepata fursa ya kurejea shuleni lakini analazimika kuanza kidato cha kwanza licha ya kuwa alishafika kidato cha tatu. “Sina shida, muhimu ni kutimiza ndoto zangu za kuwa mwalimu au mwanasharia. Kwa sasa naj...
Rais Samia azungumzia wimbi la utekaji, mauaji ya watoto
Переглядів 15422 години тому
“…watu wanauawa hovyo huko…waambieni wanasiasa kwamba vyeo havipatikani kwa kuua watu, kwa kunyofoa viungo…” - Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha kuguswa na wimbi la utekaji na mauaji ya watoto linalodaiwa kuendelea maeneo mbalimbali hapa nchini…akiwaomba machifu kote nchini kusimama imara na kuilinda jamii kwa kuonya na kuwafichua wale wote wanaojihusisha na vitendo hivyo. #AzamTVupdates Mhari...
Tanesco kuanza kutumia miundombinu ya kampuni ya Madope
Переглядів 3122 години тому
Tanesco kuanza kutumia miundombinu ya kampuni ya Madope
Ujumbe wa Waziri wa Eswatini wajifunza uwekezaji NSSF
Переглядів 6722 години тому
Ujumbe wa Waziri wa Eswatini wajifunza uwekezaji NSSF
Ruto atangaza baraza jipya la mawaziri
Переглядів 16022 години тому
Ruto atangaza baraza jipya la mawaziri
Tume ya haki za binadamu yaibua madudu ya polisi
Переглядів 3822 години тому
Tume ya haki za binadamu yaibua madudu ya polisi
Upungufu wa walimu watishia ubora wa elimu
Переглядів 922 години тому
Upungufu wa walimu watishia ubora wa elimu
'Mjomba ni mama' siri ya wamakua na ubini wa mama
Переглядів 2422 години тому
'Mjomba ni mama' siri ya wamakua na ubini wa mama
ALASIRI || Fahamu kuhusu siku ya karaoke
Переглядів 2322 години тому
ALASIRI || Fahamu kuhusu siku ya karaoke
Bilioni 4.2 kujenga minara 30 ya mawasiliano Shinyanga
Переглядів 35День тому
Bilioni 4.2 kujenga minara 30 ya mawasiliano Shinyanga
Jitengezeeni maisha mazuri kabla ya kustaafu
Переглядів 21День тому
Jitengezeeni maisha mazuri kabla ya kustaafu
Viongozi ACT Wazalendo waanza ziara pande nne za nchi
Переглядів 52День тому
Viongozi ACT Wazalendo waanza ziara pande nne za nchi
HOJA MEZANI || Mahojiano maalumu na Mkurugenzi Mtendaji Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB)
Переглядів 68День тому
HOJA MEZANI || Mahojiano maalumu na Mkurugenzi Mtendaji Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB)
Ushirikiano wa Azampsesa na Shirika la Posta kumnufaisha mteja zaidi
Переглядів 28День тому
Ushirikiano wa Azampsesa na Shirika la Posta kumnufaisha mteja zaidi
MADA || Umuhimu wa kutoa elimu ya uoakoaji kwa wananchi
Переглядів 55День тому
MADA || Umuhimu wa kutoa elimu ya uoakoaji kwa wananchi
Milembe Insurance yawashika mkono polisi wa usalama barabarani, waahidi msaada zaidi
Переглядів 63День тому
Milembe Insurance yawashika mkono polisi wa usalama barabarani, waahidi msaada zaidi
CHAPA ZA LEO || Karibu tukupitishe kwenye kurasa za mbele za magazeti ya leo Julai 19, 2024
Переглядів 31День тому
CHAPA ZA LEO || Karibu tukupitishe kwenye kurasa za mbele za magazeti ya leo Julai 19, 2024
SHAJARA || Uwekezaji wa vituo vya kujaza gesi asilia (CNG)
Переглядів 320День тому
SHAJARA || Uwekezaji wa vituo vya kujaza gesi asilia (CNG)
'Utamaduni wa kale' kawa na chachu ya kuimarisha ndoa
Переглядів 53День тому
'Utamaduni wa kale' kawa na chachu ya kuimarisha ndoa

КОМЕНТАРІ

  • @dianastemile6976
    @dianastemile6976 20 годин тому

    Hongera sana mama

  • @CHW113
    @CHW113 21 годину тому

    Yanga hakuna kitu

  • @Mchwatv
    @Mchwatv День тому

    ua-cam.com/video/ClzMrjbx58M/v-deo.htmlsi=1EgB6vNsofYI0Utx

  • @baltazarmrema5712
    @baltazarmrema5712 День тому

    Nani anarudia kuichek hii game saii kama mimi😂😂

  • @amanijuma4484
    @amanijuma4484 День тому

    Wamebadilishiwa msitu nyani ni walewale

  • @JemeslaizerJemeslaizer
    @JemeslaizerJemeslaizer День тому

    Hadi machifu wamepinda... Mungu atusaidie tu.

  • @fatumapedersen193
    @fatumapedersen193 День тому

    Ongera machifu wote wa Tanzania na raisi mama samia mungu I bariki Tanzania. Mungu akupe huzima.

  • @user-qb7ej8cp5y
    @user-qb7ej8cp5y 2 дні тому

    Kweli kabisa mama

  • @mrabdultv8356
    @mrabdultv8356 2 дні тому

    aisee kutoka juu ya bahari mpk land chini ya bahari km 2 then gas ipo tena chini ya ardhi km 2 nyingine jumla 4km aisee c mchezo

  • @barakamalinga
    @barakamalinga 2 дні тому

    😢

  • @Kevin-ni7vj
    @Kevin-ni7vj 2 дні тому

    Mechi naipenda naiangalia kila siku

  • @user-cp2fr6ct5g
    @user-cp2fr6ct5g 2 дні тому

    Simba nguvu moja

  • @alfinmbilinyi5985
    @alfinmbilinyi5985 2 дні тому

    🇹🇿Kazi nzuri serikali ya Tanzania ila pale kati ya mlimba na makambako reli ina mteremko mkali kiasi kwamba treni ikitoka dar kwenda mbeya huwa zile gurudumu zina teleza na kulazimu mabehewa kuvutwa na vichwa viwili.kwa kweli hili liangaliwe ikiwezekana na hii iwe standard gauge railway pia.kila la heri serikali ya Tanzania kwa hayo mnatufurahisha wa Tanzania kwa kuijenga nchi ya mzee Nyerere &JPM.

  • @lajumajuma1797
    @lajumajuma1797 2 дні тому

    Hongera Azam kwa usikivu mzuri

  • @luqmanomary3558
    @luqmanomary3558 2 дні тому

    Tumpigwa na kalynda aloo dah sio poa

  • @masasidastan1729
    @masasidastan1729 2 дні тому

    Hongereni sana TPDC kwa kazi nzuri .

  • @kelvinmutagwa1633
    @kelvinmutagwa1633 3 дні тому

    😢😢😢😢😢😢

  • @tisamokebulemasubugu6222
    @tisamokebulemasubugu6222 3 дні тому

    Shida kubwa Serikali haitowi hakikisho Kwa Wafanya Biashara wadogo Mfanya Soko la Simu 2000 Serikali ilitowa tamko kutolewa Barabarani Machinga na kupelekwa Sokoni na kuhakikisha hio ni sehemu Rasimi Baada ya Miaka 8 Serikali hiyohiyo inataka Wafanya Biashara waondoke Sokoni Bila Kuwa na pakuwapeleka Bila Taalifa wala kuwasikiliza hii inaonyesha Serikali kutufanya tusiiamini kuwatowa Wafanya Biashara na kujenga Karakana hii inaonyesha nini? Je mgomo itaisha

  • @ZAINABUMASHAKA
    @ZAINABUMASHAKA 3 дні тому

    19/7/2024😂

    • @BigDreamsWorldwide
      @BigDreamsWorldwide 2 дні тому

      Ukute kipindi hiyoo yanga ilisajiri vizee kama round hii 😂😂😂 𝓈ℴ𝓂𝒶 𝓀𝒾𝓂𝓎𝒶 𝓀𝒾𝓂𝓎𝒶 𝐓𝐇𝐄 𝐑𝐄𝐓𝐔𝐑𝐍 𝐎𝐅 FIVE 𝐆𝐎𝐀𝐋𝐒 😂😂

  • @RajabOmary-sq5ft
    @RajabOmary-sq5ft 3 дні тому

    Wananchi together tunawakilish

  • @thomastemu3332
    @thomastemu3332 3 дні тому

    😅😅 rapper huyo 2pac wa Bongo 😅😅

  • @thomastemu3332
    @thomastemu3332 3 дні тому

    Watanga wana ballah kweli kweli 😅😅😅

  • @StanleyKitika-dd7lz
    @StanleyKitika-dd7lz 3 дні тому

    No ajapotezakumbukumbu kakosea lakini karekebisha amnakosaapo

  • @innocentiBonifas
    @innocentiBonifas 3 дні тому

    18 july

  • @LamarOmary
    @LamarOmary 4 дні тому

    Jaman

  • @MasterSimba-sk8kr
    @MasterSimba-sk8kr 4 дні тому

    ❤❤❤😂😂

  • @lajumaofficial521
    @lajumaofficial521 4 дні тому

    Sema mililita si milimita

  • @kitegojr8202
    @kitegojr8202 4 дні тому

    Ipo wapi hii meli

  • @MwendwaKyule-x8y
    @MwendwaKyule-x8y 4 дні тому

    Maneno manzuri Sana

  • @antonyjrc5792
    @antonyjrc5792 4 дні тому

    Mkopo ni makubaliano baina ya watu wawil

  • @baylorTanzania
    @baylorTanzania 5 днів тому

    Stephano hamiss

  • @ContentSmartphone-rq6po
    @ContentSmartphone-rq6po 5 днів тому

    We unasema kipato tu wakati kwetu mboga

  • @rashmaissac480
    @rashmaissac480 5 днів тому

    16/7/24❤

  • @AbdallahDilunga
    @AbdallahDilunga 5 днів тому

    Akika Azam mpo juuu zaid

  • @andulilemwakalinga7635
    @andulilemwakalinga7635 5 днів тому

    Duu polen sana wakulima wa Kapunga

  • @namajojomedia2197
    @namajojomedia2197 5 днів тому

    Mungu awasamehe hawa

  • @user-it6zi7zw8y
    @user-it6zi7zw8y 5 днів тому

    poleni sana mungu amlaze mahar pema pepon ameen inshallah sema wachunguze boda boda pia alafu namaswala ya mapenzi yanaweza changia wachunguze pia

  • @alexwailod5589
    @alexwailod5589 5 днів тому

    Pigs hao

  • @kiraeugene2920
    @kiraeugene2920 5 днів тому

    Poleni sana ndugu zetu wabenesictin Wapumzike Kwa amani mbinguni

  • @SelemanCharles-yt5op
    @SelemanCharles-yt5op 5 днів тому

    Yaàn msimu ujao zitajirudia2

  • @hajiali1572
    @hajiali1572 5 днів тому

    Leo tareh 16/7/2024

  • @TsindabyPstjustus955
    @TsindabyPstjustus955 5 днів тому

    Kalibu na Good luck na Mimi ni takupokea nikutembeze jiji la kigali ujionee mwenyewe, jiji safi

  • @TsindabyPstjustus955
    @TsindabyPstjustus955 5 днів тому

    Kalibu na Good luck na Mimi ni takupokea nikutembeze jiji la kigali ujionee mwenyewe, jiji safi

  • @TsindabyPstjustus955
    @TsindabyPstjustus955 5 днів тому

    Hauwezi kuona nyumba za nyasi hapa Rwanda yote.

  • @TsindabyPstjustus955
    @TsindabyPstjustus955 5 днів тому

    Rais Paul kagame hapa Rwanda amefanya maajabu, umeme vijijini, umenea sehemu zote, maji ndiyo hivo, usalama usiseme unaweza kutembea na begi la pesa hata, usiku wa saa sita za usiku, amegawia nkombe maskini, Rwanda yote hauwezi kuona nyuma ya nyasi, babala usisemi, matibabu kwa wote, na masomo kwa wote!!! Hapa Rwanda tunataka uongoze paka dakika za mwisho wake.

  • @BlessingManase-w2j
    @BlessingManase-w2j 5 днів тому

    ❤❤

  • @patridabernard9148
    @patridabernard9148 6 днів тому

    Natamani tufunge 10 msimu huu

  • @gonnetheboss1708
    @gonnetheboss1708 6 днів тому

    Iv waliuza vp mechi eti si wakubali kikosi kilikua kibovu tu

  • @Mwachuomo
    @Mwachuomo 6 днів тому

    Safi sana kwani ao ndio walipa kodi wajao

  • @NeemaIngabire-vj3sx
    @NeemaIngabire-vj3sx 6 днів тому

    Wow